Usaliti

Usaliti ni hatari sana maana mwaweza kuwa mmekubaliana mfanye kazi fulani ya maendeleo lakini msaliti hukubali ilihali moyoni ni kinyume. Huo ni usaliti kama mmekubaliana kufanya jambo fanyeni bila kupishana.

Waweza ongeza mawazo yako hapa.

Mipango yenye faida

Hapa  duniani kunawatu ambao usikukucha wanawaza mambo ya maana ambayo huweza kuleta faida kubwa.Angalia nchi za urusi wameandaa kombe la dunia na wamebuni vivutio mbalimbali anbavyo baadaye vitaleta faida kwa wabunifu .

Mfano wamebuni gari lenye mahitaji mbalimbali ambalo ni lakwanza duniani.Gari hilo linamahitaji ya vyakula malazi na hata huduma za maliwato.

Watu mbalimbali watakapofika kuliona wanaweza kulipenda na kuagiza nao wawe nayo magari kama hayo nahivyo wabunifu kuwauzia ama kuwatengenezea mengine na kupata faida kubwa.

Nawapongeza sana hawa wabunifu maana wameongeza kipato chao na cha nchi yao.Piawameongeza ajira kwa watu wa taifa lao.

Jambo hili tujifunze sisi nchi zinazoendelea ili tuongeze kipato na tukuze uchumi.

Haya ni mawazo yangu waweza toa maoni yako pia.